Showing posts with label England. Show all posts
Showing posts with label England. Show all posts

Friday, December 9, 2011

United, City zafungasha virango Ligi ya Mabingwa

venance.chadema@yahoo.com

 Send to a friend
Thursday, 08 December 2011 20:43

MIAMBA ya Ligi Kuu ya England, Manchester United na Manchester City wametupwa nje kwenye Ligi ya Mabingwa huku Lyon ikifuzu kwa 16 bora kwa kishindo baada ya kufunga mabao saba.

Mabingwa wa Ulaya mwaka 1968, 1999 na 2008, United, walitupwa nje baada ya

Wednesday, August 24, 2011

Welbeck ang'ara United .

venance.chadema@yahoo.com

 
Tuesday, 23 August 2011 20:54


MSHAMBULIAJI Danny Welbeck alifunga bao moja na kutengeneza pasi ya bao lingine wakati Manchester United ilipoichapa mabao 3-0 Tottenham Hotspur katika mechi ya Ligi Kuu England iliyofanyika juzi kwenye uwanja wa Old Trafford.

Katika mechi hiyo kocha wa Manchester United, Alex Ferguson aliamua kupanga wachezaji vijana ambapo vijana hao hawakumuangusha kwani Welbeck alifunga bao la kwanza baada ya kuunganisha vizuri kwa kichwa krosi ya kijana mwenzake Tom Cleverley.

Katika dakika ya 76, Welbeck alitoa pasi nzuri ya kisigino akiwa ndani ya

Tuesday, August 9, 2011

Rooney: Tumewaonyesha City sisi ni mabosi

venance.chadema@yahoo.com


Monday, 08 August 2011 20:44

MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Wayne Rooney amesema timu yake imewaonyesha wapinzani wao Manchester City kwamba nani ni bosi nchini England baada ya juzi kuwachapa mabao 3-2 na kutwaa Ngao ya Jamii.

"Matokeo haya yanaonyesha ni timu ipi bora, katika mechi nzima tulitawala sisi na hata tofauti iliyoonyeshwa na wachezaji wetu vijana ilikuwa kubwa, tuliwasambaratisha, matokeo tuliyopata tunastahili, sisi ni mabingwa, tulitakiwa kushinda na tulitakiwa kuthibitisha hilo,"alisema