| Send to a friend |
| Thursday, 08 December 2011 20:43 |
MIAMBA ya Ligi Kuu ya England, Manchester United na Manchester City wametupwa nje kwenye Ligi ya Mabingwa huku Lyon ikifuzu kwa 16 bora kwa kishindo baada ya kufunga mabao saba. Mabingwa wa Ulaya mwaka 1968, 1999 na 2008, United, walitupwa nje baada ya |
