Sunday, June 5, 2011

Mbowe akamatwa mjini Dar es Salaam.

Freeman Mbowe
Freeman Mbowe
Nchini Tanzania kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, Chadema, amekamatwa mjini Dar es Salaam.
Freeman Mbowe anakabili mashtaka ya kufanya mkutano bila ya
ruhusa, na fujo, kuhusu maandamano yaliyofanywa mapema mwaka huu.
Kiongozi mwengine wa upinzani, Zitto Kabwe, ambaye ni naibu katibu mkuu wa Chadema, alizuwiliwa na polisi kwa muda mfupi, hapo jana, na kuachiliwa kwa dhamana.

No comments:

Post a Comment