Monday, 17 October 2011 21:06 |
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Chadema, Zitto Kabwe na Amos Makala (CCM-Mvomero) ni miongoni mwa wabunge mashuhuri walioteuliwa na Kamati ya Utendaji ya Simba kuunda kamati mbalimbali kuiongoza klabu hiyo. Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage alitangaza kamati hizo jana kuwa lengo hasa ni kusimamia uwekezaji katika klabu hiyo ikiwemo ujenzi wa uwanja wa klabu pamoja na ujenzi wa jengo la kisasa Makao Makuu ya klabu hiyo yaliyoko Mtaa wa Msimbazi. Mbali na wabunge hao, wabunge wengine waliotajwa kwenye kamati za Simba ni Abdul Mteketa (CCM-Kilosa), |
Tuesday, October 18, 2011
ZITTO, MAKALLA KUONGOZA KAMATI SIMBA SPORTS CLUB.
UVCCM waandamana Arusha.
venance.chadema@yahoo.com
KUNDI la wafuasi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) kutoka wilaya mbalimbali za Mkoa wa Arusha, jana lilizingira uzio wa Makao Makuu ya Polisi mkoani hapa ambako mwenyekiti wa umoja huo, James Milya alikwenda kujisalimisha.Wakati Milya akihojiwa, wafuasi hao wa CCM walibaki nje wakiimba nyimbo mbalimbali za kumsifu kiongozi wao huyo.
Wafuasi hao walifika hapo wakimsindikiza Milya kwa maandamano maalumu hali iliyowalazimisha polisi kuwazuia kuingia kwenye lango kuu. Walibaki huku kuendelea kuimba.
Milya aliwasili katika Ofisi Polisi Mkoa wa Arusha saa 6:30 mchana akiwa ndani ya gari aina ya Lexus. Mbali ya kusindikizwa na wafuasi wake hao, pia alikuwapo wakili wake, Moses Mahuna.
Baada ya kushuka kwenye gari hilo akiwa na wakili wake na baadhi ya viongozi wa UVCCM, aliekea moja kwa moja katika ofisi ya Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Akili Mpwapwa ambako alikaa huko kwa takriban dakika 15 kabla ya kutoka nje na kupokewa kwa shangwe na wapambe wake.
Baada ya Milya kutoka, maandamano makubwa ya
Monday, 17 October 2011 21:34 |

ZITO, JANUARY WAMKALIA KOONI MAKAMBA.
venance.chadema@yahoo.com
Monday, 17 October 2011 21:41 |
WASEMA KAMA AMESHINDWA UWAZIRI AACHIE NGAZI WENYEVITI wa Kamati za Bunge za Nishati na Madini, January Makamba na Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Zitto Kabwe wamesema ikiwa hali ya umeme itaendelea kuwa mbaya nchini, itamlazimu Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kujiuzulu.Kadhalika, wenyeviti hao wamesema hakutakuwa na uhalali wa Serikali kuzilipa kampuni zilizopewa jukumu la kuzalisha umeme wa dharura ikiwa umeme huo hautapatikana katika muda uliotarajiwa. Wakizungumza Dar es Salaam juzi usiku kwenye mdahalo kuhusu ‘Hali ya Umeme nchini na Tanzania tunayoitaka’ ulioandaliwa na Kampuni ya Vox Media, wabunge hao waliuponda mpango wa dharura wa Serikali wa kukabiliana na |
Subscribe to:
Posts (Atom)