Saturday, 17 September 2011 08:33 |
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesema litaanza kuzifanyia vipimo simu za mikononi, ili kubaini ubora wake. Hatua hiyo inakuja baada ya TBS kulalamikiwa na baadhi ya watumiaji wa simu kuwa simu zao hazina viwango, kutokana na mwingiliano wa mawimbi ya umeme na hata kusababisha hitilafu katika kompyuta.Mkazi mmoja wa Tabata Dar es Salaam, Gabriel John aliiambia Mwananchi kuwa kompyuta yake ndogo ilizimika gafla baada ya simu ya mkononi kuita na kwamba hadi sasa |
Sunday, September 18, 2011
TBS KUKAGUA SIMU ZA KICHINA..
venance.chadema@yahoo.com
WABUNGE CHADEMA MAHAKAMANI KESHO...
venance.chadema@yahoo.com
Saturday, 17 September 2011 20:46 |
BAADA ya juzi Jeshi la Polisi kuwahoji na kuwaachulia huru wabunge wa Chadema, jana asubuhi walikamatwa na kutupwa korokoroni hadi kesho watapokafikishwa mahakamani kujubu tuhuma za kumfanyia vurugu Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatma Kimario.Wabunge wawili wa Chadema watakaofikishwa mahakamani kesho ni Sylivester Kasulumbai wa Maswa Mashariki na Susan Kiwanga (Viti-Maalum) pamoja na mkada wa chama hicho, Anuary Kashaga. waliwekwa rumande jana hadi Jumatatu Wabunge hao jana waliitwa tena polisi na kuhojiwa kisha kuswekwa rumande mbele ya mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu. Walifikishwa katika kituo cha polisi Igunga saa 3:15 na walihojiwa kwa saa nne. Baadaye Lissu alitoka na kuwaeleza waandishi wa habari kuwa polisi imewashikilia kutokana na malalamiko yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya kuwa alipigwa na wabunge hao. Lissu alisema Jeshi la Polisi limesema linawashikilia wabunge hao na likiendelea kuwasaka watu wengine ambao walihusika katika tukio hilo lililotokea Septemba 14 mwaka huu katika Kata ya Isakamaliwa, wilayani Igunga. Kwa mujibu wa Lissu, polisi wamesema kuwa mkuu huyo |
Subscribe to:
Posts (Atom)