Friday, December 9, 2011

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU YAFANA JIJINI DAR

venance.chadema@yahoo.com


Posted by GLOBAL on December 9, 2011 at 4:30pmComments 
Rais Kikwete  (kulia) akiingia.
JK akiwapungia mkono wananchi.
Umati uliokosa nafasi ya kuingia uwanjani ukichungulia kwenye upenyo wa ukuta.
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imefanya sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Kikwete. Umati mkubwa wa watu umehudhuria sherehe hizo wakiwemo Marais na viongozi wa mataifa mbalimbali. Sherehe hizo zilizofana…
GLOBAL

NGOMA AFRICA BAND WAMESHATUA BERLIN

Posted by GLOBAL on December 9, 2011 at 2:48pmComments 
Ngoma Africa Band wakiwa jukwaani katika matumbuizo mbalimbali.
KUNDI la muziki la Ngoma Africa Band lijulikanano kama kikosi cha FFU 

No comments:

Post a Comment