Friday, December 9, 2011

7 USIKU! KANUMBA AGANDANA NA DEMU

venance.chadema@yahoo.com


Posted by GLOBAL on December 9, 2011 at 8:30am10 Comments 
Shakoor Jongo na Musa Mateja
‘THE business icon’ ndani ya tasnia ya flamu Bongo, Steven Charles Kanumba (pichani)  hivi karibuni alinaswa laivu usiku wa saa saba akiwa amegandana na demu mmoja aliyefahamika kwa jina la Sada, tiririka na mistari chini.

The Udaku Master, Ijumaa lina ushahidi wa kutosha juu ya picha ya tukio hilo, lilitokea wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Mlimani…

No comments:

Post a Comment