Saturday, December 10, 2011

JIONEE SAFARI YANGU KUUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIKA PICHA....


SAFARI YA SUPERSONIC THE GREATEST (THE MASTERMIND) KUELEKEA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO MWEZI WA KUMI MWAKA HUU(2011).
mlima kilimanjaro unapatikana katika mkoa wa kilimanjaro kaskazini mwa tanzania....ni mlima mrefu kuliko yote afrika na ni wa pili kwa urefu katika dunia.
zipo njia nne za kuupanda mlima huu wa maajabu ambazo ni machame route, marangu route, rongai route, lemosho route.
lakini supersonic nilipitia njia ya machame ambayo inaaminika kuwa ngumu kuliko zote hadi kukifikia kulele cha mlima huo kilimanjaro.
""""FUATANA NAMI""




hapa ni geti la kuondokea  lililopo machame..na hapo ndipo safari ilipokuwa inaanza.


mwonekano wa njia hizo nyembamba na za kuvutia kuelekea camp ya kwanza.

miamba mizuri utakayokutana nayo njiani wakati wa safari.

uoto wa asili wa hifadhi ya mlima kilimanjaro.

mapumziko mafupi njiani baada ya uchovu mwingi wa safari.

mahema kwa ajili ya kupumzikia katika camp ya kwanza siku ya kwanza.



baridi kali ikiwa inaniandama ...nguo nzitinzito muhimu.

mahema kwa ajili ya kupumzikia siku ya pili.


na hapo ni sehemu ya kupumzikia siku ta yatu.

miamba ya kuvutia katika hifadhi.

mwonwkano kwa mbali katika camp ya tatu.

supersonic nikijiachhia kimtido ktk baridi hiyo kali.

siku ya nne katika kituo cha barafu...supersonic ndani ya mavazi mazito.

vituko havikosekani katika safari......mastermind akipata kifungua kinywa kwa kutumia kipande cha chupa ya maji aina ya kilimanjayo...ha ha haaaaa.

katika tu kufurahi.

kituo cha barafu hapa.

kujiandaa kwa safari ya kurudi.

mwonekano wa kilele cha mawenzi.

wakati wa kuvng'oa hema kujiandaa kuondoka.

siku ya tano mastermind akijisafi tayari kiuanza safari ya kurejea mjini.


kijiandaa kurudi mjini.


mweka getini hapa ndani ya usafiri wa kurudi mjini.

baada ya kurejea mjini...mastermind akijiandaa kuiagalia mechi ya man u na liverpool.
na hapa ndipo kilele cha mlima kilimanjaro......"UHURU PEAK"
TUKUTANE TENA KATIKA MWENDELEZO WA SAFARI HII YANGU KTK MILMA HUU KULIMANJARO WENYE MAAJABU YA KUTISHA NA YA KUFURAHISHA PIA.
"IFURAHIE"


venance.chadema@yahoo.com

No comments:

Post a Comment