Showing posts with label Daniel Mjema na Boniface Meena. Show all posts
Showing posts with label Daniel Mjema na Boniface Meena. Show all posts

Sunday, September 18, 2011

WABUNGE CHADEMA MAHAKAMANI KESHO...

venance.chadema@yahoo.com

Saturday, 17 September 2011 20:46

Mbunge wa Iramba Mashariki Tundu lissu, akizungumza na waandishi wa habari nje ya Kituo cha polisi Igunga jana, kukutokana na kukamatwa kwa wabunge wa Chama hicho, Susan Kiwanga na Sylvester Kasulumbai kwa tuhuma za kumfanyia vurugu Mkuu wa wilaya ya hiyo Fatma Kimario, juzi.Picha na Fidelis Felix

BAADA ya juzi Jeshi la Polisi kuwahoji na kuwaachulia huru wabunge wa Chadema, jana asubuhi walikamatwa na kutupwa korokoroni hadi kesho watapokafikishwa mahakamani kujubu tuhuma za kumfanyia vurugu Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatma Kimario.Wabunge wawili wa Chadema watakaofikishwa mahakamani kesho ni Sylivester Kasulumbai wa Maswa Mashariki na Susan Kiwanga (Viti-Maalum) pamoja na mkada wa chama hicho, Anuary Kashaga. waliwekwa rumande jana hadi Jumatatu

Wabunge hao jana waliitwa tena polisi na kuhojiwa kisha kuswekwa rumande mbele ya mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu.

Walifikishwa katika kituo cha polisi Igunga saa 3:15 na walihojiwa kwa saa nne. Baadaye Lissu alitoka na kuwaeleza waandishi wa habari kuwa polisi imewashikilia kutokana na malalamiko yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya kuwa alipigwa na wabunge hao.

Lissu alisema Jeshi la Polisi limesema linawashikilia wabunge hao na likiendelea kuwasaka watu wengine ambao walihusika katika tukio hilo lililotokea Septemba 14 mwaka huu katika Kata ya Isakamaliwa, wilayani Igunga.

Kwa mujibu wa Lissu, polisi wamesema kuwa mkuu huyo