| Monday, 17 October 2011 21:06 |
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Chadema, Zitto Kabwe na Amos Makala (CCM-Mvomero) ni miongoni mwa wabunge mashuhuri walioteuliwa na Kamati ya Utendaji ya Simba kuunda kamati mbalimbali kuiongoza klabu hiyo. Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage alitangaza kamati hizo jana kuwa lengo hasa ni kusimamia uwekezaji katika klabu hiyo ikiwemo ujenzi wa uwanja wa klabu pamoja na ujenzi wa jengo la kisasa Makao Makuu ya klabu hiyo yaliyoko Mtaa wa Msimbazi. Mbali na wabunge hao, wabunge wengine waliotajwa kwenye kamati za Simba ni Abdul Mteketa (CCM-Kilosa), |
Showing posts with label Jessca Nangawe. Show all posts
Showing posts with label Jessca Nangawe. Show all posts
Tuesday, October 18, 2011
ZITTO, MAKALLA KUONGOZA KAMATI SIMBA SPORTS CLUB.
Subscribe to:
Posts (Atom)