Watu wa Ureno wanapiga kura katika uchaguzi ulioitshwa mapema, baada ya serikali ya kisoshalisti, kuomba mikopo kutoka vyombo vya fedha vya kimataifa, kusaidia uchumi wa nchi hiyo.
Kampeni ya uchaguzi imegubikwa na sera za kukata matumizi na
kuzidisha kodi, shuruti iliyopewa Urenu ili kupata msaada.Kura za maoni zinaonesha mashindano ni makali baina ya chama tawala cha kisoshalisti, na cha mrengo wa kati, cha Social Democrats.
Mwandishi wa BBC, anasema yeyote atayeshinda uchaguzi, atakuwa na tatizo kubwa la kutekeleza sera hizo
No comments:
Post a Comment