story zilizotanda kila kona ya kuwa Will Smith msanii, muigizaji na mchekeshaji amefariki kwa kuji overdoze, zimekanushwa na website mbali mbali na kudai kuwa ni uzushi tu, na si mara ya kwanza kuzushiwa kwa Will Smith ambapo mwaka jana alizushiwa kuwa amefariki kwa ajali ya gari. will smith yupo kitaa bado anaendelea kupeta kitaa na kukisanua kama kawa
Uzushi mwingine ulikuwa ni wa mtu mzima 2pac ambae alifariki dunia mwaka 1996
kama uliingia chaka na kukubali utakua mjinga, ilifikia mpaka idadi wa watu 3,000 waliingia chaka juu ya story iliyokua ikitapakaa kila sehemu ambayo ilikua ikisema tupac yuko hai na anaishi New Zealand.
No comments:
Post a Comment