| Tuesday, 16 August 2011 21:09 |
| CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza rasmi mapambano na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga baada ya kumwandikia barua msimamizi wa uchaguzi huo kikimtuhumu Mweka Hazina wa chama hicho tawala ngazi ya taifa, Mwigulu Nchemba kuanza kumwaga misaada yenye lengo la kile ilichodai ni kushawishi wapigakura. Hatua hiyo ya Chadema kuandika barua rasmi kuelezea tuhuma hizo, imekuja wakati tayari vyama hivyo viwili vikiwa katika malumbano ya maneno kila kimoja kikikishutumu kingine kucheza mchezo mchafu kabla ya muda wa kampeni uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec). Chadema kiliandika barua hiyo yenye kumbukumbu namba CDM/W/IG/UCH/Vol.1/201 Agosti 15, mwaka huu na kusainiwa na katibu wa chama hicho |
Showing posts with label Igunga na Fidelis Butahe. Show all posts
Showing posts with label Igunga na Fidelis Butahe. Show all posts
Wednesday, August 17, 2011
Chadema waivaa rasmi CCM uchaguzi Igunga
venance.chadema@yahoo.com
Subscribe to:
Posts (Atom)