| Tuesday, 23 August 2011 21:09 |
| BAADA ya kushuhudia moto mkali ukiwaka kwenye ufunguzi wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kitimtim hicho kinaendelea tena leo kwa timu 12 kushuka dimbani kumenyana kwenye viwanja sita tofauti. Kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga ikitoka kwenye majeraha ya kuchapwa bao 1-0 na JKT Ruvu kwenye mechi ya ufunguzi watakuwa na kazi ya kurudisha matumaini ya mashabiki wao wakati watakapoivaa Moro United. Katika mchezo huo, Yanga ambayo imepoteza imani ya mashabiki wake baada ya kupoteza mechi tano mfululizo tangu Julai 21 inatarajia kukutana na upinzani mkali kutoka kwa Moro United ambayo ilionyesha upinzani mkali kwenye mechi dhidi ya Azam FC licha ya kulazwa bao 1-0. Kwa upande mwingine wapinzani wa Yanga, Simba SC wenyewe watakuwa |
Showing posts with label Waandishi Wetu. Show all posts
Showing posts with label Waandishi Wetu. Show all posts
Wednesday, August 24, 2011
Yanga kwa Moro, Simba, Coastal hapatoshi
Subscribe to:
Posts (Atom)