In this year's Champions League Final we'll see two football dynamos facing it off until the last minute - what a match it will be! The tension's building and you want to be part of it. Look no further and secure your Champions League Final tickets right here right now. viagogo is Europe's leading ticket exchange and
Sunday, May 22, 2011
Chami, Lukuvi wamshukia Dkt. Slaa
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Chyril Chami na mwenzake wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Bw. William Lukuvi wamemshukia Katibu
Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibrod Slaa na kusema kuwa anachanganya maana ya neno 'ufisadi', badala ya kulipua wenzake, anajilipua mwenyewe.
Mawaziri hao walitoa kauli hizo jana kwa nyakati tofauti walipozungumza na gazeti hili kufuatia madai ya Dkt. Slaa kwamba viongozi hao na wanasiasa wengine wanafanya ufisadi kujigawia vitalu vya kuvuna

OCD amtwanga risasi mwalimu wa sanaa SUA
*Polisi wamkamata, wamwachia huru
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
MKUU wa Polisi wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Onesmo Lianga ameshikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa muda na baadaye kuachiwa kwa
tuhuma za kumpiga risasi sehemu ya makalio mwalimu wa kikundi cha sanaa cha Chuo Kikuu cha Sokoine cha

Saturday, May 21, 2011
tupo nanyi ee wanyonge
Chadema yaratibu mazishi ya waliouawa Tarime: Godbless Lema kushoto CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema... http://bit.ly/jEBOou
@ChademaTz CHADEMA
Mnyonge hulaumiwa, na kutweshwa kila dhiki. Ni mengi husingiziwa, ambayo kwamba si haki. Na kweli yake kitowa,... http://fb.me/12AWofk8m
chadema waratibu maziko tarime
Chadema yaratibu mazishi ya waliouawa Tarime: Godbless Lema kushoto CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema... http://bit.ly/jEBOou
UKWELI JUU YA CCJ HADHARANI
- Tuesday, May 17, 2011, 5:09
- Habari kuu, Mtanzania
- 252 views
- Add a comment
Monday, May 9, 2011
Saturday, May 7, 2011
Wednesday, May 4, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)