| Tuesday, 16 August 2011 20:16 |
| SHIRIKISHO la Soka Tanzania ( TFF) limesema kuwa linasubiri majibu kutoka kwa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuhusu klabu ya Simba kumtumia mchezaji wao mpya, Gervais Kago kama ataweza kucheza Ligi Kuu msimu ujao. Kago aliyesajiliwa akitokea klabu ya Olympic Real de Bangui ya Jamhuri ya |
Wednesday, August 17, 2011
Kago ruksa leo
venance.chadema@yahoo.com
Vita ya Barcelona, Madrid yahamia Camp Nou .
venance.chadema@yahoo.com
| Send to a friend |
| Tuesday, 16 August 2011 20:11 |
0digg BARCELONA, HispaniaLEO ni fainali ya Hispania Super Cup, ambapo Barcelona itakuwa ikikabiliana na Real Madrid katika mechi ya pili ya kuwania kombe hilo baada ya timi hizi kukutana kwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu na kutoka sare ya 2-2. Katika mechi ya kwanza iliyozikutanisha Real Madrid na Barcelona ya kuwania Hispania Super Cup siku ya Jumapili, timu ya Real Madrid ilipiga mashuti mengi golini, lakini mabingwa wa Ulaya na mabingwa wa Ligi Kuu ya Hispania wao walipata faida ya magoli mawili ya ugenini |
Mechi ya Simba vs Yanga:Majigambo yatawala Facebook
venance.chadema@yahoo.com
| Tuesday, 16 August 2011 20:15 |
| MAJIGAMBO ya mechi ya Ngao ya Jamii baina ya Yanga na Simba jana yalitawala katika mtandao wa kijamii wa facebook ambako wachezaji na mashabiki walikuwa wakitupiana vijembe. Kupitia mtandao huo ambao unasomwa na maelfu ya watu duniani kote, mchezaji wa Yanga, Rashid Gumbo alianza kwa kuandika ujumbe mfupi wa kujinadi kuwa watashinda mchezo huo huku akiwapiga kijembe watani zao Simba kuwa wanapenda kulaumu kufuatia kitendo cha mchezaji wao |
SIMBA VS YANGA:Hapa vumbi tu
venance.chadema@yahoo.com
| Tuesday, 16 August 2011 20:22 |
| MAHASIMU wa kihistoria katika soka la Tanzania, timu za Simba na Yanga leo zitaingia katika vita nyingine pale zitakaposhuka dimbani kukabiliana katika mechi ya kuwania Ngao ya Jamii itakayofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mpambano huo unaoashiria ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu itakayoanza Jumamosi hii, unatarajiwa kuwa na upinzani mkali huku ukiwa unafanyika takribani siku 36 tu tangu timu hizo zilipokutana katika mechi ya fainali ya michuano ya |
Chadema waivaa rasmi CCM uchaguzi Igunga
venance.chadema@yahoo.com
| Tuesday, 16 August 2011 21:09 |
| CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza rasmi mapambano na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga baada ya kumwandikia barua msimamizi wa uchaguzi huo kikimtuhumu Mweka Hazina wa chama hicho tawala ngazi ya taifa, Mwigulu Nchemba kuanza kumwaga misaada yenye lengo la kile ilichodai ni kushawishi wapigakura. Hatua hiyo ya Chadema kuandika barua rasmi kuelezea tuhuma hizo, imekuja wakati tayari vyama hivyo viwili vikiwa katika malumbano ya maneno kila kimoja kikikishutumu kingine kucheza mchezo mchafu kabla ya muda wa kampeni uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec). Chadema kiliandika barua hiyo yenye kumbukumbu namba CDM/W/IG/UCH/Vol.1/201 Agosti 15, mwaka huu na kusainiwa na katibu wa chama hicho |
Tibaijuka awatisha Malecela, Sumaye, AONYA MUDA WAO KUHODHI ARDHI KUBWA UMEKWISHA
venance.chadema@yahoo.com
| Tuesday, 16 August 2011 23:34 |
| Waandishi wetu, Dodoma, Dar Kauli hiyo ya Profesa Tibaijuka imekuja siku moja baada ya kambi ya upinzani bungeni kupitia Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee kutaja orodha ndefu ya vigogo hao wa CCM wakiwamo Marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Mawaziri Wakuu wastaafu, John Malecela na Frederick Sumaye. Wengine waliotajwa ni Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Philip Mangula na aliyekuwa Naibu wake (Bara), Hassan Ngwilizi akisema kwamba wamehodhi ardhi kubwa mkoani Morogoro bila kuiendeleza. Hata hivyo, alisema ni |
Saturday, August 13, 2011
BP yafungiwa leseni kwa miezi mitatu .
venance.chadema@yahoo.com
| Send to a friend |
| Friday, 12 August 2011 21:43 |
| MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), imesitisha leseni ya biashara ya Kampuni ya Mafuta ya BP kwa miezi mitatu kwa kukaidi agizo lake la kutoa huduma ya uuzaji wa mafuta.Imesema Bodi yake ya Wakurugenzi imeagiza Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa kampuni hiyo pekee ya mafuta ambayo Serikali ina hisa asilimia 49, afikishwe mahakamani kupitia kwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Jinai (DPP) kwa kukaidi agizo hilo la Ewura. Pia, imezipa onyo kali Kampuni za Oilcom, Camel Oil na Engen na kuzitaka kutorudia tabia ya kugoma kupunguza bei ya mafuta kwa kuwa ni kinyume na sheria za Tanzania, huku ikiwataka kuuza mafuta kama awali kwa watu wote bila ubaguzi.Rungu hilo la Ewura linakuja takriban wiki moja baada ya wafanyabiashara wa mafuta kugoma kuuza nishati hiyo kwa bei elekezi ya Serikali. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa |
Tuesday, August 9, 2011
Fundisho: Rooney ajipanga kuitesa zaidi Man City.
| ||
NYOTA wa Manchester United, Wayne Rooney amesema kikosi chake kimetoa somo kubwa kwa majirani zao baada ya kutoka nyuma kwa mabao 2-0 na kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 kwenye mechi ya kuwania Ngao ya Hisani iliyochezwa juzi Jumapili kwenye Uwanja wa Wembley. Manchester City walikuwa mbele kwa mabao 2-0 lakini Manchester United walikaza msuli na kufunga mabao matatu. "Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani timu yetu ni bora,''alisema Rooney "Tulitawala mechi nzima, tumewaonyesha kwamba sisi ni zaidi. Sisi ni mabingwa na tulitaka kuthibitisha hilo |
SIMBA DAY: Simba! Simba! Aaah!
venance.chadema@yahoo.com
SIMBA..Simba! Aaah! Ndiyo kilichotokea wakati mashabiki wa Simba wakishangilia pasi za timu yao ilipocheza na Victors ya Uganda lakini ghafla wakanywea. Kikosi kikicheza kwa mara ya kwanza kikiwa kamili baada ya usajili kukamilika ndani ya ardhi ya Tanzania Bara, Simba ilionyesha mabadiliko lakini ikalala kwa bao 1-0 mbele ya Victors ya Uganda jana Jumatatu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Kocha Moses Basena alilaumu washambuliaji wake kwa kuwataja kwa majina Uhuru Seleman, Emanuel Okwi na Felix Sunzu kwa kukosa nafasi za wazi ambazo zingeweza kuwapa raha zaidi mashabiki katika mchezo huo ambao beki wa zamani wa Simba, Joseph Owino alikuwa jukwaani akishuhudia |
Harusi ya Mercy Johnson yanukia
venance.chadema@yahoo.com
yamembadilikia, imedaiwa kuwa mchumba wake alimficha mambo mengi kuhusiana na mkewe wa zamani na sasa ameyagundua. Alichogundua ni kwamba mumewe alifunga harusi kabisa na mwanamke huyo ingawa alimwambia Mercy kwamba ni feki zilikuwa ni picha za magazetini tu za kutengeneza. Lakini msanii huyo amekasirika na kutishia kwenda kanisani kufuta ndoa hiyo kama hataweka mambo wazi na kusema kila kitu kilichojiri, lakini inadaiwa ndugu wa mumewe wanahangaika kuweka mambo sawa. |
Rooney: Tumewaonyesha City sisi ni mabosi
venance.chadema@yahoo.com
| Monday, 08 August 2011 20:44 |
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Wayne Rooney amesema timu yake imewaonyesha wapinzani wao Manchester City kwamba nani ni bosi nchini England baada ya juzi kuwachapa mabao 3-2 na kutwaa Ngao ya Jamii. "Matokeo haya yanaonyesha ni timu ipi bora, katika mechi nzima tulitawala sisi na hata tofauti iliyoonyeshwa na wachezaji wetu vijana ilikuwa kubwa, tuliwasambaratisha, matokeo tuliyopata tunastahili, sisi ni mabingwa, tulitakiwa kushinda na tulitakiwa kuthibitisha hilo,"alisema |
Warembo Miss Tanzania waingia kambini
| |
| Monday, 08 August 2011 20:47 |
| Mkuu wa Udhamini wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza alisema kuwa sababu kubwa ya kuanzisha utaratibu mpya ni kuwapa nafasi zaidi warembo hao kujifunza mambo mengi wakiwa kambini kama mashindano ya “Big Brother Africa”. Rwehumbiza alisema kuwa mfumo huu ni tofauti na ule uliozoeleka |
Viongozi CUF wanusurika ajalini
venance.chadema@yahoo.com
| |
| Monday, 08 August 2011 21:27 |
| Ajali hiyo ilitokea jana jioni kilomita karibu 10 kutoka mjini Morogoro barabara ya kuelekea Dar es Salaam na kumsababishia majeraha kiongozi huyo na abiria wake. Akizungumza na Mwananchi jana jioni katika eneo la ajali Mtatiro alisema kuwa gari waliyokuwa nayo aina |
venance.chadema@yahoo.com
| Mtoto aliyeibwa Bunda miaka saba iliyopita apatikana nchini Kenya |
| Sunday, 07 August 2011 21:50 |
| Mtoto huyo wa kiume Nyambibiti Lazaro, ambaye sasa hajui lugha yoyote tofauti na kijaluo, aliibwa na mwanamke wakati huo akiwa na umri wa miezi minne, wakati mama yake mzazi alipokuwa amemwacha nyumbani kwao, akiwa chini ya uangalizi wa mtoto mwenzake mwenye umri wa |
Madiwani waliotimuliwa Chadema wajipanga kwenda mahakamani .
venance.chadema@yahoo.com
| |
| Monday, 08 August 2011 21:28 |
| Uwezekano huo ulielezwa na Diwani wa Kata ya Elerai, John Bayo, alipozungumza kwa njia ya simu akiwa njiani kutokea Dodoma walipokwenda kuhojiwa kabla ya uamuzi wa kutimuliwa kufikiwa. “Binafsi sina kinyongo na chama changu wala viongozi wake. Nimepokea uamuzi huo kwani ndiyo msimamo wa vikao, lakini nakuhakikishia bado nina imani ya kuendelea na nafasi yangu ya udiwani hadi uchaguzi mkuu ujao, kuna njia nyingine ya kupinga uamuzi huo kupitia vikao au |
Uchunguzi tuhuma za Jairo ngoma nzito
venance.chadema@yahoo.com
| Monday, 08 August 2011 21:30 |
| MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amesema uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, unaendelea na siku kumi zilizotolewa hazitoshi. Awali, Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo, akizungumzia hatua za haraka za Serikali kushughulikia kashfa hiyo, ilisema uchunguzi huo dhidi ya Jairo ungetumia siku 10, lakini Julai 31, ambayo ilikuwa ni siku ya kumi, CAG Utouh alisema ndiyo kwanza alikuwa na siku ya tano tangu kuanza ukaguzi. Akizungumza Dar es Salaam jana, Utouh alisema uchunguzi siyo kuandika ripoti, kwani |
Serikali, wauza mafuta sasa wafikia pabaya .
venance.chadema@yahoo.com Monday, 08 August 2011 21:35
[Kituo cha kuuzia mafuta cha BP Upanga kikiwa tupu kutokana na kile kianchoelezwa kuIshiwa na mafuta, kwa zaidi ya siku nne vituo vinavyomilikiwa na BP haviuzi mafuta, bada ya mgomo uliondeshwa nchi nzima na wauza mafuta waking EWURA kupunguza bei ya bidhaa hiyo kutokana na serikali kuwapunguzia kodi ilikuleta unafuua kwa wananchi. Picha na Fidelis Felix ] Kituo cha kuuzia mafuta cha BP Upanga kikiwa tupu kutokana na kile kianchoelezwa kuIshiwa na mafuta, kwa zaidi ya siku nne vituo
[Kituo cha kuuzia mafuta cha BP Upanga kikiwa tupu kutokana na kile kianchoelezwa kuIshiwa na mafuta, kwa zaidi ya siku nne vituo vinavyomilikiwa na BP haviuzi mafuta, bada ya mgomo uliondeshwa nchi nzima na wauza mafuta waking EWURA kupunguza bei ya bidhaa hiyo kutokana na serikali kuwapunguzia kodi ilikuleta unafuua kwa wananchi. Picha na Fidelis Felix ] Kituo cha kuuzia mafuta cha BP Upanga kikiwa tupu kutokana na kile kianchoelezwa kuIshiwa na mafuta, kwa zaidi ya siku nne vituo
Spika amtwisha Zitto Kabwe zigo la UDA.
venance.chadema@yahoo.com
| Monday, 08 August 2011 23:06 |
| SAKATA la kuuzwa kwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limezidi kugonganisha vichwa vya mamlaka mbalimbali, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuhamisha mchakato wa uchunguzi huo kutoka Kamati ya Bunge ya Miundombinu kwenda Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC).Utata wa uuzaji wa shirika hilo umesababisha pia mvutano mkubwa kati ya wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam na Meya wa jiji hilo, Dk Didas Masaburi ambaye wiki iliyopita aliwashambulia wawakilishi hao kwa maneno makali huku akitoa vitisho kwamba atalipua tuhuma zao za ufisadi. Makinda aliikabidhi jukumu hilo POAC Ijumaa ya Agosti 5, Spika na kuliondoa Kamati ya Miundombinu ambako Profesa Juma Kapuya ambaye ni mmoja wa wajumbem, ana maslahi na UDA kutokana na kuwa mmoja wa wanahisa wa Kampuni ya Simon Group. Kaimu Katibu wa Bunge John Joel alithibitisha jana Spika amefanya |
Monday, July 18, 2011
Chadema wamuundia tume John Shibuda .
venance.chadema@yahoo.com
| Monday, 18 July 2011 21:34 |
| CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda tume itakayoongozwa na Profesa Abdallah Safari kumhoji Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda kutokana na tuhuma za utovu wa nidhamu zinazomkabili. Hii ni mara ya pili kwa Shibuda kuhojiwa na jopo maalumu la Chadema kwani tayari aliwahi kuhojiwa baada ya kupingana na msimamo wa chama hicho wa kumsusia Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akizundua Bunge Desemba mwaka jana kwa kuhudhuria dhifa katika Ikulu ya Chamwino huku akiweka bayana kupingana na msimamo huo. Mapema mwezi huu alitoa tena kauli ambazo Chadema imeziita ni |
Shellukindo ailipua Wizara ya Ngeleja .
venance.chadema@yahoo.com
| |
| Monday, 18 July 2011 21:36 |
| MBUNGE wa Kilindi (CCM), Beatrice Shellukindo amelipua bomu Bungeni akimtuhumu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, kwa kutumia zaidi ya Sh 1 bilioni kwa ajili ya kutoa rushwa kwa watu mbalimbali ili bajeti ya wizara hiyo iweze kupitishwa na Bunge.Tuhuma hizo nzito zinakuja kipindi ambacho tayari Wabunge wa Kamati ya Nishati na Madini wakiwa wameibua tuhuma kama hizo za baadhi ya wajumbe kutaka kuhongwa na maofisa wa wizara hiyo, ili kurahisisha upitishaji wa bajeti ndani ya kamati. Takriban wiki tatu tangu wabunge wa kamati hiyo kuibua tuhuma |
Subscribe to:
Posts (Atom)




